hansrashid
Senior Member
- Nov 26, 2018
- 143
- 110
Nimesikia jinsi gani wanavyofanya test ya COVID-19/ Corona pale Ujerumani. Ni njia nyepesi unaweza kuifanya kwako nyumbani.
Hapa taarifa:
1) Kwanza chukua chupa cha bia. Fungua na peleka chupa karibu na pua. Je unaweza kunusa kitu? Kama ndiyo, hii ni vizuri. Maana kupotea uwezo wa kunusa ni dalili ya Corona.
2) Sasa weka chupa mdomoni unywe. Je, unaweza kuonja kitu? Kama ndiyo, hii ni vizuri. Maana kupotea uwezo wa kuonja ni dalili ya Corona.
Kwa tahadhari nimerudia test jana mara kumi na mbili lakini leo ninasikia kidogo maumivu ya kichwa. Maumivu ya kichwa yanaweza kuwa dalili ya Corona. Sina budi kurudia test.