COVID-19 vaccine recipients are suddenly testing positive for HIV!

Hawa wazungu wa nchi za magharibi hawajawahi kuwa wema duniani.... toka kwenye imani zao na Elimu zao
 
Wazungu wasen.ge sanaaa

C.c mahondaw
Wazungu wote sio wabaya mkuu,naomba tuwe makini kidogo.Vipo vikundi ambavyo vinaji-identify na kuleta mfumo mpya wa duniani(NWO), ambavyo vinaitwa pia Underground Societies.Vinaitwa hivyo kwa kuwa vinafanya mambo yao kwa siri sana,simply because ni maovu na yapo kinyume na misingi ya kibinadamu.Hawa ndio wabaya.Hapa utakuta vikundi kama Illuminati ambacho kinaonekana kama ndicho kinara,Bilderberg Group,Freemasons,Skull & Bones,Knights of Columbus,Knights of Templar,the Jesuits ambako yupo Pope Francis na Anthony Fauci na vingine vingi.
 
Upo sawa kabisa.. Fauchi na mashetani menzake wajinga sana.. Mungu awalaani aseee
 
Huu ni ujinga kabisa,unaletewa taarifa ya kukusaidia halafu unaiita conspiracy.Hivi unaelewa kwa nini dhana ya conspiracies ilibuniwa kweli wewe.Endelea kuuchapa usingizi,wenzio wako kwenye genocide spree!
Hizo ni taarifa feki
 
Watu kama ninyi hatuhangaiki na ninyi kwa kuwa either you are already connected to the Devil,so anything demonic is likeable or you are in denial,so we just scorn you off.
Acha kurusha matusi . kila mtu ana mawazo yake. Heshimu mawazo ya wengine. Hizo taarifa zinaweza kuwa ni conspiracy ndio. Kumbuka chanjo ya polio imewahi kupata changamoto kama hizo pia. Na ungewajua wanaoandika hizo taarifa na milengo yao ungejiona mjinga kwa kuziamini
 
Watu kama ninyi hatuhangaiki na ninyi kwa kuwa either you are already connected to the Devil,so anything demonic is likeable or you are in denial,so we just scorn you off.
Kutoheshimu mawazo ya watu wengine ndo ushetani wenyewe kenge we. Basi tukuachie mwenyewe humu jf .
 
No, when you are testing HIV they don't test the virus, they just test if there is the presence of Antibodies and not the actual virus.

I heard that COVID 19 vaccine induces some sort of antigens that stimulate the production of antibodies to fight the virus intrusion.
No wonder if they can also stimulate the production of Antibodies used to test HIV.

Disclaimer; IN MY HUMBLE OPINION and I'm not a medical specialist just it's a layman's thoughts.
 
mmh

Interesting!
 
Chanzo cha habari zote unazoleta hapa ni kutoka STATE OF THE NATION, Aiseeee.... SHAME.....
Yaani unawapembela kweli wala vumbi na maisha yao masikini
Kama wazungu wanataka kuwauwa wanazo njia nyingi sana tu na madawa hayo yote unayoenda kupewa kila siku na kihospitali chako
Acheni upuuuzi, hamna umuhimu wowote na wazungu mpaka wawapangie njama, labda wachina mnaowababaikia ndio watawalizeni
 
Kutoheshimu mawazo ya watu wengine ndo ushetani wenyewe kenge we. Basi tukuachie mwenyewe humu jf .
Mawazo yanayoheshimiwa ni yale yenye hadhi ya kuheshimiwa mkuu,sasa tukubali kila wazo,I think not.
 
Ina elekea hata hujui maana ya conspiracies.Hiki ni kibao kilichogeuzwa!Deep State ndio wanaofanyia humanity conspiracies,sasa uovu wao unapofunuliwa wanasema ni conspiracies.Wake up guys.
 
Sawa kabisa,sio mainstream media,kwa hiyo vyanzo vya taarifa zao ni authentic.Mkuu huwezi kuamini taarifa yeyote kutoka any mainstream media,it is all screwed up by the Deep State. SOTN ina writers wengi ambao ni independent,sio censored.
 
Hii habari ingekua imeandikwa kwa kiswahili ingekua nzuri Sana, sema ukiweka kwa kiswahili wataanza kusema ume copy huna lolote
 
Hii habari ingekua imeandikwa kwa kiswahili ingekua nzuri Sana, sema ukiweka kwa kiswahili wataanza kusema ume copy huna lolote
Mbona hata elimu tunayopewa shuleni ni copied,there is nothing original,ni kupenda kudhalulishana tu.
 
Ina elekea hata hujui maana ya conspiracies.Hiki ni kibao kilichogeuzwa!Deep State ndio wanaofanyia humanity conspiracies,sasa uovu wao unapofunuliwa wanasema ni conspiracies.Wake up guys.
Unaporusha mitusi kwenye jukwaa huru unaonekana ni mvuta bhangi. Hili ni jukwaa huru . sasa na Mimi kwa uelewa wangu nimekwa hiyo mistori unayoamini ni feki na huo ni mchango wangu
 
Sawa kabisa,sio mainstream media,kwa hiyo vyanzo vya taarifa zao ni authentic.Mkuu huwezi kuamini taarifa yeyote kutoka any mainstream media,it is all screwed up by the Deep State. SOTN ina writers wengi ambao ni independent,sio censored.
Kawadanganye wapuuzi wenzio huko hapa watu tuna chambua mambo kwa undani. Jiulize covid 19 imeanzia China . kwa nini China hawashambuliwi kama huto bilgate na west?
 
Kawadanganye wapuuzi wenzio huko hapa watu tuna chambua mambo kwa undani. Jiulize covid 19 imeanzia China . kwa nini China hawashambuliwi kama huto bilgate na west?
Sioni point in your comment kwa kuwa sina sababu yeyote ya kudanganya watu.I am only providing the truth.If you believe it is not the truth, just ignore it,you do not have to be cross with me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…