Mimi ninaye binamu wangu amepimwa kwa kutumia huo utando bila damu, lakini swali langu liko pale pale mumesema ilikua upimaji wa kisiri bila ya hao kwenye maabara kujua kwamba sampuli hiyo sio ya bnadamu, sasa mananasi ulitumia kitu gani kuwahadaa hao kwenye maabara.