Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Watafiti wamesema madhara ya #CoronaVirus ni kwa mwili mzima kwa kuwa huathiri viongo vingine vya mwili ikiwemo mapafu, koo, moyo, ini, ubongo, figo na utumbo
Ripoti hii itasaidia kujua dalili zaidi za #COVID19. Kwa kuwa kunaa baadhi ya dalili zilionekana kuwa za ajabu kwa wagonjwa wa #CoronaVirus ikiwemo kuumwa kichwa na figo kufeli
#CoronaVirus ni ugonjwa wa mapafu ambao ulitambulika kuonea zaidi kwa njia ya hewa lakini mara nyingine husababisha kuhara na dalili nyingine. Tafiti ziliweza ugundua virusi hivyo huweza kukaa hata kwenye kinyesi na kuonya kuhusu hilo
‘COVID TOES’ pia ilitajwa kuwa kitu kinachosababishwa na #COVID19 kwa kuwa vidole huathiriwa kutokana na kuganda kwa damu kunakosababishwa na #CoronaVirus
====
The novel coronavirus can infect organs throughout the body, including lungs, throat, heart, liver, brain, kidneys and the intestines, researchers reported Wednesday.
Two separate reports suggest the virus goes far beyond the lungs and can attack various organs -- findings that can help explain the wide range of symptoms caused by Covid-19 infection.
The findings might help explain some of the puzzling symptoms seen in coronavirus patients. They include blood clots that cause strokes in younger people and that clog dialysis machines, headaches and kidney failure.
Covid-19 is classified as a respiratory virus and is transmitted through respiratory droplets, but it can also sometimes cause diarrhea and other gastrointestinal symptoms. Researchers have found evidence of the virus in the stool of patients, and warn that it can be transmitted via what's known as the fecal-oral route.