CPA Admission inakuwaje?

CPA Admission inakuwaje?

CB227

Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
43
Reaction score
5
Wapendwa ningependa kujua hawa watu wa CPA wataniadmit vipi couse nimemaliza ordinary diploma ya account pale IFM sasa sijui kama ntaanzia kwenye ATEC au kwenye modules.
 
Kuna maelekezo ya stage unayoweza kuanzia,tembelea web yao sikumbuki vizuri
 
Nimeangalia kwenye tovuti ya NBAA lakini ckuona sehemu ambayo wameka hizo category but nilichoona ni course outline yao tu.
 
That is the good idea Iwill try to do some followup so that Ican get the correct and unambiguas answer.
 
Thank you indeed for the link you gave because it clarify all that ineed to understand.
 
Back
Top Bottom