Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa CPA Kasore
Labda Zuhura yupo Zanzibar😂Mbona barua n kutoka Zanzibar wakati rais yupo Arusha.?
Kwani Rais akitaka kwenda Zanzibar kutokea Arusha anatembea kwa miguu mpaka ushangae kuwepo Zanzibar?Mbona barua n kutoka Zanzibar wakati rais yupo Arusha.?
🗑️Kwani Rais akitaka kwenda Zanzibar kutokea Arusha anatembea kwa miguu mpaka ushangae kuwepo Zanzibar?
PUMA nusu Serikali.....Nusu British Petroleum....Puma ni private company au?
Uhamisho ukoje kutoka private company kwenda wizara ya Nishati?
Nimeuliza tu
Kuwepo au kutokuwepo Zanzibar hakuifanyi ikulu ya rais wa Tanzania kuhama, labda uteuzi ameufanya rais Mwinyi.Labda Zuhura yupo Zanzibar😂