Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Habari wakuu? Leo nimemaliza kufanya mitihani ya CPA. Lakini wakuu napenda kuongelea suala la mitihani ya NBAA. Hivi hawa jamaa wakoje? Maana mitihani yao hasa somo la Management Accounting jamani aaaaa! Huwa wanatoa maswali kutoka popote kiasi huwa haya pimwi ama kukaguliwa. Mfano leo wametoa swali limekosewa!!!