Mm nasubiri hiyo mitaala mipya niione maana hii ya zamani imenishinda mara tatu mfululizo nimedo cjarecod hata moja .nommaaaaaaaaa sanaa
Habari wakuu? Leo nimemaliza kufanya mitihani ya CPA. Lakini wakuu napenda kuongelea suala la mitihani ya NBAA. Hivi hawa jamaa wakoje? Maana mitihani yao hasa somo la Management Accounting jamani aaaaa! Huwa wanatoa maswali kutoka popote kiasi huwa haya pimwi ama kukaguliwa. Mfano leo wametoa swali limekosewa!!!
Hongereni wapendwa mliomaliza mitihani yenu ya cpa leo. Mwakani Mungu akitujalia uzima nataka nijitose kuisoma hiyo cpa. The problem ni kwamba uwezo wa ku atend review classes ni mdogo sana. Swali ni je nitapasua bila review classes nikikomaa mwenyewe. Naombeni mnijuze kwa wenye experience. Na kuhusu syllubus mpya, inaanza kutumika lyn? Yaani mwezi wa ngapi coz nasikia ni mwakani inaanza.
Mkubwa kukudume2013 unakosea, ungekuwa unaingia tu maana watu wanarekodi kiajabu, silabasi mpya sio mbaya manna ukifaulu pepa 1 unarekodi kama acca, ishu .ni idadi ya masomo ...
Mkuu if you don't have time to attend review classes, then please stay far away from CPA.
hapana sio kukatishwa tamaa, lakini ndio ukweli...Duh! Umenikatisha tamaa.
hapana sio kukatishwa tamaa, lakini ndio ukweli...Duh! Umenikatisha tamaa.
hayata punguo 10....Yatakuwa mangapi kwa graduate wa BAF?