Cpa examinations result

toka uhuru ndo tumefika 5645 ukitoa waliofariki tunabaki less than elfu tano
aise kama ni vivyo basi ngoja nimalize digrii yangu ya uhasibu fasta nikatafut yangu. lakini mbona kiasi kidogo sana mkuu hicho?au ni 56,450?
 
aise kama ni vivyo basi ngoja nimalize digrii yangu ya uhasibu fasta nikatafut yangu. lakini mbona kiasi kidogo sana mkuu hicho?au ni 56,450?

Ni 5,645 mkuu,kama alivyosema aliyetangulia hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…