Mhh ajifanyie tathmini yeye mwenyewe mbona wengine wanapata? akae chini na kujiuliza wapi anakosea kulalamika hakutasaidia.Labda hana uwezo wa kusit masomo matatu at par so why alazimishe kuisoma wakati kuna bodi kama acca ambapo mtu anaweza kufanya somo moja kila exam session na ndani ya miaka mitano akawa ameipata(hapo ni kama atapata exemption ya masoma manne ya mwanzo).Japo kwa kusema hivyo haimaanishi kwamba acca ni qualification rahisi! takwimu zinaonyesha kwa wastani 50% ya watahiniwa hufeli kila exam session.Mitihani ya bodi za uhasibu ni tofauti sana na mitihani ya uhasibu ya vyuoni.Inataka commitment ya hali ya juu.Ushauri wangu kama ana hela na bado ana muda katika maisha yake asome acca qualification inayotambulika globally.Vile vile acca ni user frendly japo cpa(T) nayo kwa sasa wameifanyia mabadiliko makubwa sana ili iendane na wakati.Namtakia kila la heri katika safari yake ya kuwa professional accountant.