umeeleweka vyema mkuu. kama yupo bright first sitting anachomoa fasta. then nbaa wameweka kila kitu very open ni kitendo cha kutembelea tovuti yao for more details.Non accounting degree unaanzia foundation. Hakuna mambo za mod A Mpaka F. Director Maneno amewarahisishia. Stage ziko tatu, foundation (5 subjects), Intermediate(6) na final (4)...kwa mantiki hiyo uko-eligible to sit for foundation stage, naamini kichwa yako iko vizuri baada ya mwaka 1.5 ushakamata gamba
Kumbe ITA wanatoa shahada siku hizi?
Mi nlijua bado kuna mambo ya modules...asante kwa kunieleweshaNon accounting degree unaanzia foundation. Hakuna mambo za mod A Mpaka F. Director Maneno amewarahisishia. Stage ziko tatu, foundation (5 subjects), Intermediate(6) na final (4)...kwa mantiki hiyo uko-eligible to sit for foundation stage, naamini kichwa yako iko vizuri baada ya mwaka 1.5 ushakamata gamba
kusoma ITA c km unaxom center ya marisita,et nach kiñatoa degree!
kaz ipo bado zoom tu kuwackia