Habarini wanajamvi, mimi ni mfanyakazi ninayejiendeleza ki-elimu na Juni mwaka huu nataraji kumaliza Diploma ya Uhasibu. Natamani sana kuendelea zaidi ya hapa kwa kuwa nafanya vizuri. Naombeni ushauri wenu niendelee na ngazi ipi kati CPA au DEGREE na faida zake angalau nipate mwanga