ynyend1
Member
- Nov 19, 2012
- 73
- 13
KALOLENI CENTRE FOR CPA REVIEW CLASSES
The Centre that Unlocks your Potentials
The Centre that Unlocks your Potentials
- Je, unahitaji kufaulu mitihani yako ya CPA kwa mara ya kwanza bila ya kurudia?
- Je, umerudia mitihani yako mara nyingi bila ya mafanikio?
- Je, unahitaji kukutana na walimu wenye vipaji maalum vya kufundisha?
The Kaloleni Centre for CPA Review Classes ni kituo cha kufundishia kilichoko Arusha ambacho kimejipanga kufungua kipaji chako kwa kupitia walimu wake wenye uzoefu kabambe katika ufundishaji. Kituo hiki kinatoa masomo kwa wanafunzi wanaojiandaa kufanya mitihani ya Bodi ya Uhasibu (NBAA) kwa Module E. Kituo hiki kina rekodi nzuri sana ya kufaulisha wanafunzi; kimeanza mwaka jana, na kwa matokeo ya May 2013, kituo kimeweza kufaulisha wanafunzi wote wa kwa asilimia 100.
MAHALI:
Kituo kipo Arusha mjini maeneo ya Shule ya Msingi Kaloleni, Karibu na mnara wa mwenge Arusha
GHARAMA
Gharama kwa Mitihani yote ya Module E ni TZS 350,000/= kwa kila mwanafunzi.
SIFA ZAIDI ZA KITUO
Tunatumia mbinu na zana za kisasa katika kufundishia kama vile DVD na CDs, TV, Computer maalum za kufundishia na zenye kutumia mfumo wa Digitali.
Hivyo, siku nyingine mwanafunzi atafundishwa kwa kutumia video maalum za masomo ambazo zimeandaliwa na walimu wenye vipaji maalumu; video hizi zina maswali na majibu ya mitihani iliyopita; mwishoni mwa topic ili kupima uelewa wa mwanafunzi baada ya kusikiliza. Hakika, tumejipanga kukuwezesha kufaulu mitihani yako kwa mara ya kwanza bila ya kurudia. Hatubahatishi bali tunaweza!
Pia, baada ya kumaliza topics za kutosha, kutakuwa na mitihani ya kujipima yenye kuendana na kiwango cha mitihani ya Bodi ya wahasibu (NBAA) ambayo itamwezesha mwanafunzi kujipanga vizuri kwa mitihani yake ya mwisho.
Masomo yameshaanza kufundishwa kwa Module E, wahi mapema bado hujachelewa.
Kwa mawasiliano zaidi, Piga namba zifuatazo:-
Voda (0756-953616); Airtel (0683266799) au Tigo (0714-737726)
NYOTE MNAKARIBISHWA
Voda (0756-953616); Airtel (0683266799) au Tigo (0714-737726)
NYOTE MNAKARIBISHWA