uyujaa yuko vzr sana nilikaa miez miwil nikapata kazi ila kwa concept zake nimetoka ngawa nilikua busy sana edson leonce yuko poa
Yuko wapi mkuu hapa dar or? Kama ni dar ni maenei gani?
Na pia kama kuna mtu ana contact za Rashid wa pale boma ilaila tusaidiane
Rashid hua anafundishia pale Boma shule ya msingi,Edson anafundishia Mnazi mmoja shule ya msingi mkabala na ofisi za ccm lumumba
Rashid najua alipo ila nilikuwa nashida ya contact zake maana sijajua kama wameanza au la..
Hapo mnazi mmoja nilikuwa nafahamu kituo ila nilikuwa sijui kama muhusika ni huyo Edson . Thanks mkuu, ingawa module E wengi nilikuwa naona wanapenda kwa Rashid na F wanapenda kwenda hapo mnazi mmoja...sijui nani ni mzur kati yao
Module E nilipiga kwa rashid na nilitoa kwa single sitting, yuko vizur jamaa ila kwa edson sina taarifa sahih.
0652080000/0756347331 namba za rashid
Nahitaji contact info za kituo cha AFC plz naomba mwenye nazo anisaidie
Nahitaji contact info za kituo cha AFC plz naomba mwenye nazo anisaidie
Yuko wapi mkuu hapa dar or? Kama ni dar ni maeneo gani?
Na pia kama kuna mtu ana contact za Rashid wa pale boma ilaila tusaidiane
yupo mnazi mmoja shule ya msingi opposite na makao makuu ya ccm
namba ya kodineta 0714 971198
Jaman mnajua CPA imebadilika sa hiv hakuna mambo ya module ni intermediate na professional kwa wale wa awali wanaanza na foundation Kama kawaida sasa hivi umapiga 2 seat unakula CPA
Jaman mnajua CPA imebadilika sa hiv hakuna mambo ya module ni intermediate na professional kwa wale wa awali wanaanza na foundation Kama kawaida sasa hivi umapiga 2 seat unakula CPA
mkuu kuna intermediate stage ina masomo 6 na final stage ina masomo 4
Hii center ndo ya edson au?0714 971198 coordinator anaitwa kessy
So kwa mm ambaye nimemaliza E na na F niliseat maybimegoma nimepata moja tu audit. Nitakuwa na masomo mangap?