Cpa (t)

Cpa (t)

Speedo

Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
70
Reaction score
19
Pole na majukumu,
Naomba kuuliza;
Kwa mtu aliyesoma B.Sc in Building Economics (degree ya kwanza) kisha akasoma MBA Marketing, akitaka kusomea mitihani ya uhasibu atakuwa anaqualify kuanza na level ipi ya juu? (Module gani kati ya A, B, C & E)
Shukurani.
 
Kama ulikuwa unataka kuwa mhasibu ulienda kufanya nini kwenye hiyo B.Sc. Building Economics pia ukafanya MBA ya Marketing.Acha kutapatapa nyinyi ndio wale mliokuwa mnakataa kwenda kusoma hata ADCA au ADA kwa kukariri kwamba ukisoma UDSM ndio umeula sasa ona unatapata.

Anyway nenda Ukawaone NBAA wenyewe pale Mhasibu house watakupa jibu sahihi na watakuambia unataka uanzie module gani?
 
Back
Top Bottom