CPC na CCM kuendelea kudumisha uhusiano wa kihistoria

CPC na CCM kuendelea kudumisha uhusiano wa kihistoria

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ulioongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CPC ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya CPC Jimbo la Shanxi, Komredi Tang Dengjie. Katika kikao hicho kilichofanyika Juni 21, 2024 katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni, Dar es Salaam, Chama Cha Mapinduzi kiliwakilishwa na Katibu wa NEC, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Rabia Abdalla Hamid.

Katika mazungumzo hayo, Ndg. Majaliwa alisisitiza kuendelea kudumishwa kwa ushirikiano wa kihistoria kati ya Tanzania na China.
 

Attachments

  • IMG-20240623-WA0021.jpg
    IMG-20240623-WA0021.jpg
    351.9 KB · Views: 5
  • IMG-20240623-WA0019.jpg
    IMG-20240623-WA0019.jpg
    313.5 KB · Views: 2
  • IMG-20240623-WA0015.jpg
    IMG-20240623-WA0015.jpg
    275.1 KB · Views: 2
  • IMG-20240623-WA0017.jpg
    IMG-20240623-WA0017.jpg
    272.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom