Natumaini mko poa. Mimi nauza CPU yenye jina Dell Omniplex 780 Intel cup duo 3.06 GHZ, 6.0 GB RAM na HDD 210. Hii ilikuwa inatumika ofisini
Bei sh 150,000
Imerumika miezi kadhaa tu
Piga hii namba 0769308197. Hii alikuwa anatumia mume wangu. Ameniambia nimsaidia kuuza kwa niaba yake.
Hizi ni zile CPU za umbo dogo. Unapata nyaya zake zote. Keyboard na mouse unapata Bure.