Uko wapi dada ?Natumaini mko poa. Mimi nauza CPU yenye jina Dell Omniplex 780 Intel cup duo 3.06 GHZ, 6.0 GB RAM na HDD 210. Hii ilikuwa inatumika ofisini
Bei sh 150,000
Imerumika miezi kadhaa tu
Piga hii namba 0769308197. Hii alikuwa anatumia mume wangu. Ameniambia nimsaidia kuuza kwa niaba yake.
View attachment 3086816
Hizi ni zile CPU za umbo dogo. Unapata nyaya zake zote. Keyboard na mouse unapata Bure.
Chukua 450k tufanye biashara kama hutojali. Nahitaji Computer + Mid keyboardUkitaka full system lakini kwa wale wanaopenda kujifunzia kugonga beats unapata na kinanda, MAudio workstation 61 keys mk3 jumla sh 680,000
View attachment 3092572
Chukua 450k tufanye biashara kama hutojali. Nahitaji Computer + Mid keyboard