CR Belouizdad vs Mamelodi Sundowns kupigwa Bila Watazamaji

Hawatak muwapelekee corona
 
Hawa 'tiiefuefu' hawawezi hata kutoa taarifa 'kiprofeshino' kwanini?

Walishindwaje kusema kuwa hakutaruhusiwa mashabiki kwenye taarifa ya mwanzo?

Wakisema na sababu waliyoambiwa na waliowaomba kuchezea kwa Mkapa,tz watapungukiwa nini?
 
Hivi kwanini wanacheza hapa kwetu na sio kwao?
 
Imekuwaje watupangie tena wakati ni kwetu.... 🤔🤔Kwanza hata wangetaka watazamaji tusingeenda 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…