CR hamna kitu leo

CR hamna kitu leo

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,647
Reaction score
2,951
Team C R vipi. Mambo ya kusubiri pass ya kumalizia leo yanakwama kwa CR.Torino sio mchezo.

Na penat ya wazi Juv wamebebwa na ref
 
Hivi huu ni uzi umeanzisha au ulikuwa una comment?
 
Mpira ndiyo kwanza HT...ungevumilia kidogo mpira uishe

Japo kiukweli nyota ya CR7 sio kali kama ilivyokuwa
 
".........Mnasahau andunje kaisaidia timu yake kuibuka na ushindi mnono"
 
Back
Top Bottom