mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Taarifa toka kambi ya timu ya taifa ya ureno zinasema kuwa cr7 ana corona na ameondolewa kwenye kambi hiyo ili kushughulikia matibabu.
Namtakia apone haraka maana uefa inakaribia
Source: Supersport
Mytake
Kuna kiongozi alituambia Covid19 haiwapati watu wa mazoezi
Namtakia apone haraka maana uefa inakaribia
Source: Supersport
Mytake
Kuna kiongozi alituambia Covid19 haiwapati watu wa mazoezi