Naileta hapaNimeikosa GIF yakeView attachment 1044511View attachment 1044512
Hili ni goal LA 5 mkuu sio LA 4UCL 4th goalView attachment 1071389
Hili ni goal LA 5 mkuu sio LA 4
Amewafunga man u
Hat trick na athletico Madrid
Hili na Ajax LA 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazoezi na vyakula specialIle hattrick ya jana ni amazing Ronaldo atakuwa alidanganya umri hana 34 labda 27
Nakubali mkuu maana magoli ya jana yanaonyesha jamaa bado kijana kabisaaMazoezi na vyakula special