Nyie ndio mnaweka lenta imara mnaacha kuimarisha msingi,ungemtumia mtaalamu yote yasingetokea.
Weka picha.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
ukiwa unaenda kwenye vyumba vya kulala lazima upandishe ngazi moja. Sasa hapo katikati kumetokea ufa mkubwa kwenye ukuta ambao unashililia hizo sides 2, umeanzia chini mpaka juu. Ufa huo umeendelea mpaka umeanza kuweka cracks kwenye gypsum na kwenye madirisha ya upande wa chini.
Wataalamu wa ujenzi naomba ushauri nini kifanyike ili kuinusuru hii nyumba, maana naona kama vile itabomoka kabisa.
Kwa jibu lako tu wewe uko kinadharia zaid!!!!!
Vipi kama fundi ndo alikosea au ratio ilikuwa ndogo au huyo mtaalamu ashinde site??????
Wasio na uwezo wa kumuajiri huyo mtaalamu wa kukaa site full time wasijenge??????!!!!!
Hujasikia wimbi la nondo zisizokidhi viwango????!!!
Badala ya kulaumu toa suluhisho mkuu au kama vipi ipotezee
hatari hiyo inaweza kubomoka ita wataalam haraka sana, ingekuwa ufa wa kawaida isingeonyesha mpaka kwenye gypsumukiwa unaenda kwenye vyumba vya kulala lazima upandishe ngazi moja. Sasa hapo katikati kumetokea ufa mkubwa kwenye ukuta ambao unashililia hizo sides 2, umeanzia chini mpaka juu. Ufa huo umeendelea mpaka umeanza kuweka cracks kwenye gypsum na kwenye madirisha ya upande wa chini.
Wataalamu wa ujenzi naomba ushauri nini kifanyike ili kuinusuru hii nyumba, maana naona kama vile itabomoka kabisa.
Ita mtalaamu akaangalie na aongee na wewe pia kama uliwahi shuhudia wakati ujenzi unaendelea. kwa namna ulivyoeleza ni vigumu mtu kukupa ushauri unaostahili. mtu hawezi jua kama kiwanja kipo kwenye mteremko au tambarare, ulijaza udongo kiasi gani? ni udongo gani uliopo kwenye kiwanja? msingi ulichimbwa urefu gani na umejengwa vipi? ukuta huo uliwekwa beam za chini kabla hujaanza kupandisha kuta na ring beam imepita kwenye hizo kuta? Inaonyesha ukuta huo ni wa ndani fundi anaweza puuzia baadhi ya vitu ingawa unabeba uzito.ukiwa unaenda kwenye vyumba vya kulala lazima upandishe ngazi moja. Sasa hapo katikati kumetokea ufa mkubwa kwenye ukuta ambao unashililia hizo sides 2, umeanzia chini mpaka juu. Ufa huo umeendelea mpaka umeanza kuweka cracks kwenye gypsum na kwenye madirisha ya upande wa chini.