Craig Mack afariki dunia

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Kwa wale wahenga wenzangu wapenzi wa hip-hop lazima mtakuwa mnamjua emcee aliyetamba mwaka 1994 na kibao chake cha ‘Flava In Ya Ear’.

Habari zinasema kuwa alifariki jana Jumatatu kutokana na matatizo ya moyo.

1994 naikumbuka kama ilikuwa jana vile.

Ngoma yenyewe hii hapa.


Remix yake hii hapa....ni legends watupu humo.


Pumzika kwa amani Craig Mack. Your hit was part of the soundtrack to my coming up!

Rap Pioneer Craig Mack Dead At 46
 


Dogo Nyani Ngabu huyu aliyefaiki hapa Tanzania alikuwa ana umuhimu gani?
 
Madawa ya kulevya huwa hayaachi moyo salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…