Craig Shakespeare afungashiwa virago Leicester City

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411


ENGLAND: Uongozi wa klabu ya soka ya Leicester City umemfukuza kazi kocha wa timu hiyo, Craig Shakespeare.
  • Craig Shakespeare emefungashiwa virago ikiwa ni miezi 4 tangu aliposaini mkataba wa miaka 5 ya kuinoa Leicester City.
  • Craig Shakespeare mwenye umri wa maiaka 53 alichukua mikoba ya kuinoa timu hiyo baada ya kumfukuzwa Claudio Ranieri aliyechukua ubingwa wa Ligi Kuu nchini Uingereza(EPL) 2015/16.
=====
Leicester City has sacked manager Craig Shakespeare just four months after he signed a three-year deal to take the job on a permanent basis.

The Foxes are third from bottom in the Premier League and have not won any of their past six league matches.

Shakespeare, 53, succeeded title winner Claudio Ranieri in February, initially on a temporary basis.

After steering the Foxes away from trouble to finish in 12th place, he was given the job permanently in June.

- BBC Sports
 
Wanaajiriwa ili wafukuzwe.. Yalitarajiwa hayo
 
Hawa wanataka kushinda kombe la dunia au?

Walifukuza Claudio kocha bora kabisa.
 
Kweli bora hata aje moyes.... Leicester nimeikuta naipenda tu halafu siku izi inazingua bora aje kocha mpya
 
Huyo kocha fala tu,wacha aende asituletee usenge,si aliona raha mwenzake kufukuzwa,**** mae
 
Kazi ya ukocha ni one of stressful job............
Unaweza pata presha duh
Yani nouma sana....siunaona wanavyopandishaga midadi....inaonesha jinsi inavyoumiza kichwa...na mikataba yao haina huruma no performance kwenu.
 
Yani nouma sana....siunaona wanavyopandishaga midadi....inaonesha jinsi inavyoumiza kichwa...na mikataba yao haina huruma no performance kwenu.
Koeman wa everton nae yuko mbioni, bilic wa westham hana aman,wenger pasu kichwa........
Duh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Koeman wa everton nae yuko mbioni, bilic wa westham hana aman,wenger pasu kichwa........
Duh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Keoman yametimia......
Nani mwingne aweza kufauta kutimuliwa Bilic, Klopp au Wenger.......M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…