Hivi kuna nchi ambayo wanafunzi wana uwezo wa kucram kuliko Tanzania, Maana wanafunzi wanameza hata kama page zipo 100. utadhani sala ya baba yetu. Hii ni hasara sana kwa taifa sababu uwezo wa watu kufikiri haukui. huu udhaifu sababu hasa ni wanafunzi au walimu!.
Hii si inatokana na lugha isiyoeleweka tunayofundishiwa.Mtu unafikiri kwa kiswahili,unasoma kwa kiingereza.
Ningekuwa na uwezo,ningebadili lugha ya kufundishia iwe kiswahili tangu chekechea mpaka vyuoni
or better badili lugha ya taifa kua kidhungu