Jaribu kutafuta laptop au compouter nyingine inayofanya kazi( PCyenye PATA HDD itakuwa safi ). Then hiyo hard disk iliyo defective kaifanye iwe SLAVE HDDkwenye komputa nzima. Then tumia tools kama Getdata back, R-Studio au Easy Recovery kwa kufanya scanning. Unaweza kufanikiwa.
Unaweza kushangaa kwa kuifanya iwe slave unaweza kupata data zako hata bila kwenda kutumia hizo tool.
Assumption
I can assume pia inawezekana motherboard ya laptop ndio ina matatizo kama HDD inapata moto then just go make the HDD A SLAVE . I assume utakuwa unaelewa mambo ya SLAVE na MASTER