Hivi wewe Paul S.S ulichokiandika kina relate na nilichokiandika mimi kweli?
Halafu sitaki malumbano na muda wa kusoma magazeti sina, nimesema nilichotaka kukisema, wewe pia ungesema yako...hivyo tu yani.
USINIHARIBIE KARAMU!
Alikutukana wewe personally au? Ulitoa mimba yake? And go find out artists such as Davido or AKA, they all have standards they expect a promoter to meet if they want them to come and perform. So if a promoter wants to put Diamond in a poor standard hotel just so that the promoter can save money...what do you want Diamond to do? He is doing music for business not charity. So yes, let him complain, and people like you don't like it ni sawa.
And you are referring to the Kenya ant diamond forum... well I would not expect less from Kenyans. Do you really think they are totally happy that it is a Tanzanian carrying the East African flag? Do you think if it was Jaguar au Sauti Sol hata kama wana scandal huko Kenya, wakenya wangevote for their own. Kenyans are the most patriotic people ever. But come to Tanzania, we are here happily mentioning that our neighbours don't like own child. Like I said, no wonder they look down on us.
Go vote for whoever you like
alifuta fasta ile post baada ya kugundua makosa ila mond kashikilia umakombo wetuWatanzania tunasahau sana...
hakumuita joketi kombo?KAMA HAKUONGEA kwa nini hakukanusha ile habari hata kwa kutumia account fb zake kma media zinapotosha???
kumuita x kombo ni sawa kunitukana pia mimi kwa kuwa nina x wangu so najihisi makombo
Naona ni jinsi gani watanzania ujinga unavyo tutafuna,Diamond ana represent Tanzania sasa unapo sema jinsi ya kumpigia kura davido na wiz kid unaonyesha ni jinsi gani ulivyo ni mtu wa ajabu.
alifuta fasta na hata asingefuta haiumizi kama kutukana na au kudharauliwa na mmbongo mwenzenu kwa kutuita wanawake makombo baada ya kuoa mgandaSio kujisahau huku ni kujitoa ufahamu!!
Every one for himself but God for us all ajipigie kura mwenyewe huyo mnaemuita diamond
VOTE kwa VANESSA MDEE na DAVIDO kwa kutumia link hii hii aliyoweka huyu MSUKULEKupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.
Ni upuuzi kipindi cha kura kuja kutulilia tumpigie kura dai in the name of the so called uzalendo, alafu mkibeba tuzo mnarudi kututukana, huo upuuzi hatutaki tena uje kujirudia.
Vote for Davido. OVER
usi ni mention wala usi niite kwenye thread za kixnge xnge kama hizi mburula wewe!
habari ya uongo hukanushwa kukaa kimya ina maana ile habari ni kweli, leta kanusho nimpigie kura+ha haa haaa nyie watu mnachekesha sana mimi nimekuuliza wewe unipe uthibitisho alisemea wapi na wewe tena unaniuliza mimi:what:
+yaani kabla ya kufuata mkumbo jiulize kwanza hizi habari ni za kweli au vipi. sio kusikia tu watu fulani wanamchukia na wewe unaendaenda tu kwa hisia!
+so kama ni habari za ukweli lete uthibitisho kutetea hoja yako, tujadili km member wa jf sio member wa fb.
Hahahahaaa, ama kweli busara za mtu hujulikana pale anapofurahi kupitiliza and vice versa.
Sasa mkuu wewe si ndiye uliyecomment na kufuta ndio maana ukaulizwa kulikoni?
Kwani jamaa kakuita au ni wewe uliyecomment kwanza?
Simpigii
Kwani si ana mashabiki zake?
Ha haaaa
Pole dada yangu kama nimekukwaza
Nilikua najaribu tu kukuandaa kisaikolojia kwamba kama mafanikio ya chibu yanakutukanisha mtaani basi jiandae kweli kweli kutukanwa
VOTE kwa VANESSA MDEE na DAVIDO kwa kutumia link hii hii aliyoweka huyu MSUKULE