kujitangaza Kijiografia Na Njia Nyingine hakufanani Na Kujitangaza Kimuziki
Leo Kuna Watu hawaitambui Marekani Bila Kumtaja Michael Jackson!
Tusizidi kuiharibu Tz Yetu Kuwa Si Sehemu Salama Kwa Vijana Wetu kutoka!!
Yaani tuache kutangaza vivitio vya kijiografia tumtegemeo MTU mmoja hapana Tanzania itajitangaza kijiografia ili watu wavutiwe kuja kutembelea nchi tuingize kipato
Ivi ni kweli Wema ana nguvu hizi za kuwaambia wa-Tz wasimpigie kura Diamond na kweli ikamfanya Diamond ashindwe nitakua mtu wa mwisho kuamini.
Hahahaha siku huyu kijana akisepa kwa sir God tutashuhudia wanafiki wengi sana kuanzia hao makamanda wao wema,jokate na huyo ceremonial king wao
Kwanza watuambie anatutangaza kimataifa kivipi?? Kama ni kushiriki kwenye tuzo za kimataifa kina x plastaz walifanya hivyo BET 2003,Kina JD, Enika,AY tangia kitambo wslishiriki hatukusikia haya au ndo MASKINI AKIPATA......
pumba tupu..nenda kawashe jiko upikeHello Leo nataka niseme kitu nilicho kiona kinaendelea siku mbili hizi kuhusu diamond
Most of watanzania huwa hawapendi maendeleo ya MTU ukiwa juu sana huwa hawachelewi kusema unajikuta unaringa na Mara nyingi wenye akili kama hizo maisha yao ni tegemezi
MTU unakuja kuandika uzi hapa na kisimu chako cha SMART KIKA eti tuungane kumpigia kura davido ili diamond asipate hio sio akili na ukweli watu wanaunga mkono wote hao maisha yao ukiangalia ni wale hohe hahe
Unafika hatua unachukia maendeleo ya mtanzania mwenzako tena kipaji hata sio chako inakuja kweli
MTU unae mchukuia na kumponda kwa pesa alio nao sahizi awaweza Lea kifamilia chenu hicho ambacho kimewapandikiza roho mbaya miaka 1000 Leo hii unatokwa na povu eti tusimpigie kura ww ni nani hapa Tanzania hata balozi wa nyumba kumi hakufaham
Eti wadada nao wanakuja mnata uzalendo eti diamond aje kula nyie hamjui hata kuoga eti sio mzalendo kweli? Hadi mapenzi ya mtu mnaingilia kati hivi hizo roho zenu za korosho ndo maana mnatoswa na wanaume wanamua kutoka nje unajiabisaha kwenye mitandao kumtaka diamond aoe Tanzania wewe ni nani?
Yaani they talk non sense....... Sijui unajiita team nani,cjui team nani nacho jua wachezaji wa kila timu hulipwa ww ndugu povu linakutoka eti Mimi team fulani akati huyo MTU hata Ku like comment ako hajawahi,hajui hata kama una exist
Unakuja hapa eti diamond bila sisi asingekuwa pale wewe ni nani ndo ulienda kumchukua tandale ukamlipia nauli ya kwenda south wewe kupiga show? We ndo ulimpeleka tuzo za BET...wewe ndo ulimpa nauli ya kwenda kuperform tuzo za CAF? Halafu Leo mbio mbio kuja hapa diamond bila sisi asingekuwa pale katudharau kuoa Uganda kweli? Ofcoz kipaji chake na kujituma kwake kumemfanya awe pale acha kutoka na povu
Mtu Chanel ya BET imepiga nyimbo ake siku NNE imempa miloni 46 ambazo ww tangu uzaliwe na utakufa hata nusu ake hutafikia Leo uje na kelele zako hapa
Mwisho mm huwa nawaangalia tu humu na kusoma comment zenu eti tusimpigie kura ooh ili tumkomoe unamkomoa MTU alive Kwisha toka wewe hata ulio soma nao washa kusahau!
Acheni ushamba wa kijijini kwetu kama hupendi kumpigia kura we kaa kimya sio uje kuhamasisha watanzania hapa eti wasimpigie
VOTE FOR DIAMOND
VOTE FOR VANESSA
Davido: tanzanians are ignorant and poor
Kweli ndo maana wanawake huwa tunapata maradhi ya ajabu ajabu
wanawake? unamjumlisha na nani ukipata kaswende,gonoria na kaputula ndio ujumuishe wote?
Tanzania Kuna watu wapuuzi mno....daah.
Wewe tu na uamuzi wako
Mijitu ina roho mbaya ajabu,makosa ya wazazi wao na wao wenye yaliyowafanya kuwa masikini wanayahamishia kwa wengine.Yani yani ni ujinga mtupu.......kesho utasikia mbona viongozi wetu hawatibiwi nchini...mbona hawatumii kitu fulani cha nchini kwetuu....pumbavu kabisa mbona wewe huthamini cha kwenu?
Eti ooh Diamond ana dharau...alikudharau wapi?ushawahi kukutana na Diamond ana kwa ana akakudharau?mbona wewe ndiyo unaonekana mwenye dharau nyingi kuliko unayemsema!
Kijana wa watu anapambana kufanya yake na Mungu anambariki kwa juhudi zake...na Ataendelea kumbariki kwani anajituma.Hizo timu zenu za kishenzi za loosers ndiyo zinawatia ujinga,eti fulani mjinga mjinga ndiyo kawashikia akili watu wazima na akili zenu.Amkeni wabongo #FITINA , #CHUKI havileti maendeleo.
Penda nchi yako,penda vya nchini mwako.
ACHA FIKRA POTOFU