Crazy things you did in secondary school

Safi ndo dawa yake
 
Enzi hizo nipo form 2 nakumbuka nipo bweni mida ya saa mbili nilikuwa na tumbo la kuala nilijinyea dalasani walimu wote waligoma kuingia dalasani sitosahau aisee kwaajiri ya mahalagwe yalio chaha
Hahahahaha hukuhama shule kweli
 
Hii mada imenikumbusha mbali sana.
Kuna mwanafunzi ndo alikuwa Mgeni tu kuja pale KWIRO. MAHENGE

mimi Nilikuwa mtaani kwa sister, basi siku za weekend akawa anakuja Dukani kwa sister na kunikuta.
akatokea kunipenda mnoo. Na alikuwa ni mpole sana. Kiukweli Hata me nilimpenda sana.

Kuna siku alikuja na mazawadi kibao, kaniletea, Kutokana na akili za udogo na kuogopa sister. Niliogopa kichukua zile zawadi.

Nilijuta sana kutokuchukua zile zawadi asee
 
Ulikuwa unakaa mitaa ya UTU
 
Hahahahahahahaha nimecheka sana jaman
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


hii inaonekana shule ya binafsi possibly a religious-led institution sorta seminary school
 
dah hatar sana mkuu
 
We noma inaonekana hata chuo kipindi cha discussion ulikuwaga unawasumbua sana wanagrup. Yan uliiva ukiwa form one tu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…