Crazy things you did in secondary school

Haaahhaa umenikumbusha mbali
-tulianzisha chemba kwenye gorofa ya juu ya bweni kwenye vyoo vilivyoharibika zamani na havitumiwi sehemu ya kuingilia ilikuwa kwenye paa tukaconnect umeme huko tukawa tunachaji simu za wanafunzi kwa hela.
Siku tuliconnect vibaya Bweni Zima na nyumba za walimu zilipata shoti
Ilibidi tanesco waje kutengeneza upya line ya umeme
Ila msako wake ulikuwa sio poa hadi mkuu wa mkoa alikuja shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…