Ni muda mrefu sasa tangu upangaji wa madaraja ya wakandarasi ulipofanyika ikiwa na pamoja ya thamani ya kazi kwa kila daraja hivyo ni vema CRB ikapitia upya upangaji wa madaraja na thamani ya kazi zao ikichukuliwa kuwa bei ya vifaa vya ujenzi zimepanda na mafuta.