CRDB account haisomi

Kama Ni mtu wa malipo online (POS) au unafanya mishe mishe za kukuingizia pesa mitandaoni,nenda ABSA , achana na hawa wapumbavu wa local banks, kama Jina linavyosema "local banks" , wapo local saanaa
 
Kama Ni mtu wa malipo online (POS) au unafanya mishe mishe za kukuingizia pesa mitandaoni,nenda ABSA , achana na hawa wapumbavu wa local banks, kama Jina linavyosema "local banks" , wapo local saanaa
Asante sana kwa ushauri mkuu
 
hata mimi yamenikuta hayo. kuna vipesa kidogo kwenye akaunti lakin naambiwa kiasi kilichopo ni Zero! Nimeenda leo tawini wamesema nisubiri majibu kesho. Hii benki nadhani iliondoka na Hon Kimei. Ubabaishaji mwingi sana! Kwanza ni kinyume kabisa na taratibu kunisababisha nisiweze kutumia akaunti yangu tangu tarehe 30 Oktoba 2023. Ajabu sana
 
Mleta mada hujielewi.....yaani unaenda bank unapewa majibu yasiyoridhisha na wale wa mapokezi unatoka shingo upande unakuja uku kulalamika,mbna hujiamini kabisaa...!!

Kwenye bank kuna mlango wa manager,ukienda kwa manager tatizo lako ni dogo sanaa,tena utasolviwa na walewale wa mapokezi chap kwa haraka
 


Kwa kweli hawa wafanyakazi wa Tanzania hawajawahu kunyosha maelezo maisha yao yote, Mimi nikikutana na similar problem nikienda kuuliza nitakaa mpaka nitaanza kutukana mpaka majibu yapatikane.

Aisee matumizi ya malipo online mimi nafanya na kadi ambayo haina savings na inakuwa na balance ya 20,000 tu, it is very risky kuwa na hela kwenye account unayotumia online.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…