Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,053
- 2,207
Yaani nimefika hapa yapata 1 hr ago nikakuta ATM moja inafanya kazi but haina hela, nimeulizia customer service akaniambia itachukua 1 hr mambo yatakuwa shwari.
Nikapiga simu kwenye hotline yao mara ya kwanza nikaambiwa it will take 2hrs, then nikapiga kwa kutumia namba nyingine nikaambiwa it will take 3hrs.
Rafiki yangu akaingia kuulizia akaambiwa 1hr it will be ok, kwa ujumla kila muhudumu ana jibu lake, sasa huelewi ushike lipi. Huu ni uzembe na leo hii naenda kufungua account KCB naamini hawa jamaa wako kikazi zaidi.