CRDB ARUSHA BRANCH-huduma zenu ni mbovu

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,053
Reaction score
2,207
Yaani nimefika hapa yapata 1 hr ago nikakuta ATM moja inafanya kazi but haina hela, nimeulizia customer service akaniambia itachukua 1 hr mambo yatakuwa shwari.

Nikapiga simu kwenye hotline yao mara ya kwanza nikaambiwa it will take 2hrs, then nikapiga kwa kutumia namba nyingine nikaambiwa it will take 3hrs.

Rafiki yangu akaingia kuulizia akaambiwa 1hr it will be ok, kwa ujumla kila muhudumu ana jibu lake, sasa huelewi ushike lipi. Huu ni uzembe na leo hii naenda kufungua account KCB naamini hawa jamaa wako kikazi zaidi.
 
CRDB wameshiba sasa, sie tulienda CRDB tawi la Mabibo Hostel hapa Dar kufungua akaunti ya shirika letu...siku ya kwanza tukarudishwa na kuombwa tupeleke nyaraka husika, siku ya pli tukapeleka kila walichotuomba ambacho kilikuwa kimeorodheshwa kwenye karatasi lao, yule mama wa pale CRDB...kachoka kweli, akasema itabidi tumwachie katiba yetu na nyaraka zingine ili azipitie kisha tuje kesho yake sasa kufungua akaunti. Imagine, wakati tunatafakari, akarukia na kusema hata hivyo naitaka katiba original, tukamwambia kuwa , tumekuja jana ukatuambia tulete document husika, tumeleta zote tena unatuomba katiba halisi ambayo hukutueleza na tayari tumeisha tumia siku mbili na unataka kesho tuje siku ya tatu? yule mama akasema siku tatu tu mnalalamika wakati wengine wanatumia hadi wiki mbili kufungua akaunti? Jamani nilishangaa, tukamwomba arudishe nyaraka zetu na ilikuwa kama saa 9:30 jioni, tukaenda katika benki moja ya kigeni KCB ambayo ndani ya dakika 20 wakawa wametufungulia akaunti na kutuomba tukope pesa kama tunataka. Hii ndiyo Tanzania, wakenya watatufundisha biashara
 
Mkuu,umenena,huwenda tulikuwa foleni moja hapo branch ya frens kona,nimewahi asubuhi sana nimekaa mpaka sa 4,maneno tu!!
Nibank tunayoitarajia sana,ila huenda ikarudi kule kule ambako zipo NBC&NMB!?
 
Hii benki huduma mbaya!!! Huku Kimara kuna ATM karibu na Suka Motel.. nimeeenda mara 20 tangu iwekwe ..ktk mara hizi 20 ni mara 1 tu nimeikuta ina pesa! Hata tunajiuliza sababu ya hiii ATM kuwa pale ni kama White Elephant!!!

Kwa hifupi Huduma za CDRB ni mbaya!!!! Foleni kufa mtu Kila mahali!! Uswahili tu!!!

Mtu una pesa yako beniki yaani kuipata ..utadhani ni kutafuta mchumba!

Kimei upo????????????
 

Kwendeni zeni nyi wakenya mmekimbia Njaa kwenu halafu mnakuja hapa TZ tunawasaidia pia mnaketa na Jeuri juu, Kama mmeshindwa kuishi TZ rudini makwenu, Acheni upuuzi wenu kama nyi wajanja Mngekimbia makwenu?.

Toeni upuuzi wenu hapa
 
Je mada Ummeelewa weye????? Ni hivi!!!!! Huduma za CRDB ni mbaya!!! sasa kama KCB wana toa huduma nzuri ninini weye hauelewi??

Huduma ni mbaya ..habari ndo hiyo!!!



Kwendeni zeni nyi wakenya mmekimbia Njaa kwenu halafu mnakuja hapa TZ tunawasaidia pia mnaketa na Jeuri juu, Kama mmeshindwa kuishi TZ rudini makwenu, Acheni upuuzi wenu kama nyi wajanja Mngekimbia makwenu?.

Toeni upuuzi wenu hapa
 
Kwendeni zeni nyi wakenya mmekimbia Njaa kwenu halafu mnakuja hapa TZ tunawasaidia pia mnaketa na Jeuri juu, Kama mmeshindwa kuishi TZ rudini makwenu, Acheni upuuzi wenu kama nyi wajanja Mngekimbia makwenu?.Toeni upuuzi wenu hapa
hiyo username yako ni wale wale msioweza kuwajibika.AIRTANZANIA IKO WAPI SASA?
 
Mkuu,umenena,huwenda tulikuwa foleni moja hapo branch ya frens kona,nimewahi asubuhi sana nimekaa mpaka sa 4,maneno tu!!Nibank tunayoitarajia sana,ila huenda ikarudi kule kule ambako zipo NBC&NMB!?
mkuu acha tu,halafu wahudumu wa pale wana mapozzz ile mbaya.
 
Kwendeni zeni nyi wakenya mmekimbia Njaa kwenu halafu mnakuja hapa TZ tunawasaidia pia mnaketa na Jeuri juu, Kama mmeshindwa kuishi TZ rudini makwenu, Acheni upuuzi wenu kama nyi wajanja Mngekimbia makwenu?.Toeni upuuzi wenu hapa
we ***** kweli!jifunze kiswahili kwanza ndio upost!
 
Kwendeni zeni nyi wakenya mmekimbia Njaa kwenu halafu mnakuja hapa TZ tunawasaidia pia mnaketa na Jeuri juu, Kama mmeshindwa kuishi TZ rudini makwenu, Acheni upuuzi wenu kama nyi wajanja Mngekimbia makwenu?.

Toeni upuuzi wenu hapa

Kuwa realistic mkuu hakuna mkenya anayeongea hapa bali watanzania. Issue hapa ni customer care na ukweli CRDB mmechoka haswa TAWI LA FRIENDS CORNER ARUSHA. MERU BRANCH NA TRA wako vizuri na mtagundua wateja wengi wamehamia huko. Nichukue nafasi hii ni mpongeze dada yangu mmoja pale Meru Branch aitwaye Mrs Asha Alli Lweno kwa kuifanya ile branch ya Meru ichangamke kwa kuwajali bila kuchoka wateja pale customer care. Pale Friends corner ni usanii mtupu niliwahi jaza formu za kuunganishwa online mara mbili zikipotea na hawakufanikisha lolote mpaka nikaenda kufungua pale Meru.

JIREKEBISHENI ACHENI KUITA WATU WAKENYA ;WATANZANIA TUKIKOSA HOJA YA MSINGI NA HASWA TUKISHIKWA PABAYA HUANZA KURUSHA MATOPE BALADA YA KU- APOLOGIZE
 
Watanzania hatuko makini let the kenyans come and take this market.

was thinking of putting a thread juu ya watoa huduma wetu, kwenye mabenki, hospitali, ofisi za watu binafsi, ofisi za umma na za serekali ndo usiseme. Yani utafikiri wamelazimishwa kazi. Na kama hawazitaki si wa kalale. Kichekesho kingine ni hizo atm. Sio crdb tu hata za mabenki mengine utakuta upuuzi wa kutokua na hela, sijui nini maana ya kuwa nazo. Luckily arusha mji mdogo.. Unaweza kujikuta umezungukia atm zote na hazifanyi kazi, unaishia kubahatisha kwenye benki isiyo yako halafu check charges. Kiboko ya ni zinazoendeshwa na wahindi eg exim na kcb. Hukuti foleni za kijinga ndani wala kwenye atms
 
mkuu huyu dada anavaa hijabu anajitahidi sana!hata kama wakikosea basi anajua jinsi ya kuongea na mteja.tatizo kubwa liko Arusha Branch yaani dharau zimewajaa ile mbaya.
 
hiyo username yako ni wale wale msioweza kuwajibika.AIRTANZANIA IKO WAPI SASA?

Ipo ingawa imebakiaJina lakini naipenda nchi yangu, Subiri aje Kiongozi wa ukweli kama hujaona wakina Mataka na wenzake walioua shirika wakienda JELA
 
Ipo ingawa imebakiaJina lakini naipenda nchi yangu, Subiri aje Kiongozi wa ukweli kama hujaona wakina Mataka na wenzake walioua shirika wakienda JELA
usiwasingizie kina mataka wakati nyinyi wafanyakazi wa cadre ya chini ndio wazembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…