muboss yeye huyu wanayemuita kimeyi?Tatizo ni huyo bosi wao mkuu anawavua sana chupi hao wafanyakazi wake wengi. Hapo sio rahisi kupanda cheo km nyeti ya huyo mubosi haijakuclick. Jamaa kwa sababu muda wake ndio unayoyoma kajaza watoto zake na vimada vyake akiwemo huyo mama wa Arusha mnayemlalamikia. Huyo mama ana kiburi sana just coz ni kimada wa muboss. Jamaa kaijenga na pia yeye mwenyewe ataibomoa CRDB.
muboss yeye huyu wanayemuita kimeyi?
duh nguvu zinaniisha!
Mimi hutumia sana KCB kutuma au kuchukua hela kupitia western union. Hawa jamaa wa KCB wapo vizuri, angalau kwa matawi niliyotembelea!Kwendeni zeni nyi wakenya mmekimbia Njaa kwenu halafu mnakuja hapa TZ tunawasaidia pia mnaketa na Jeuri juu, Kama mmeshindwa kuishi TZ rudini makwenu, Acheni upuuzi wenu kama nyi wajanja Mngekimbia makwenu?.
Toeni upuuzi wenu hapa
hapo FC kufungua akaunti ilinichukulia muda sana. Kaunta ya mapokezi imejaa "trainees" na hakuna namna nzuri ya kumuuduamia mteja. Vimemo vinapita tu. Ni heri waanzishe mfumo wa huduma ya kutoa huduma kwa namba!Foleni hiyo nadhani ilijaa waJF leo...Nimefika kwenye foleni ya hapohapo Friens Corner saa 3.50 asubuhi, nikakuta ni mashine moja tu inatumika, nayo inasuasua vibaya mno. Nikaangalia foleni nilikuwa mtu wa 12, nikaona hakuna dili, bahati nzuri nina master-card nikawahi Stanbic na kujisevia fasta!
CRDB wanaandikisha wateja kila siku, wakati wanajua hawawezi kuwahudumia, na wamejawa na kiburi na kejeli sana kiasi wanaboa!...Kinachowashikilia hawa sasa hivi ni jina tu, lakini kihuduma wako written-off!...!
Sielewi shida ninini pale , wakati kuna vijana wadogo wameajiriwa majuzi tu!
tena ni nzee kweli kweli, hasa za NBC na NMB.Tatizo ATM nyingi za kwenye mabenki yetu ni mitumba
We mdau acha mambo ya kifala hawa wakenya sometime tunawasingizia ila ukweli uko wazi CRDB ndio bank number moja inayo boa tz na huduma mbaya kwa sasa than anybank hivyo vitu vyote vilivyo ongelewa hapo juu na wadau wengi vimetukuta mimi mwenyewe imenichukua week moja kufunguliwa just a simple accaount pale mliman city ukiingia utafikiri wao ndio maboss harafu wewe ndio mfanyakazi wao wanataka wewe ndio uanzekuwaongopa nakuwaabudu as if bila hio account yao huwezi kuishi. ukweli mnaboa crdb badilikenKwendeni zeni nyi wakenya mmekimbia Njaa kwenu halafu mnakuja hapa TZ tunawasaidia pia mnaketa na Jeuri juu, Kama mmeshindwa kuishi TZ rudini makwenu, Acheni upuuzi wenu kama nyi wajanja Mngekimbia makwenu?.
Toeni upuuzi wenu hapa