Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,053
- 615
Ni kawaida sana kwa ATM zote za CRDB kusimamisha huduma kila siku saa 4 Asubuhi na saa12 jioni kwa ajili ya kuweka mambo yao sawa. Kila benki ina utaratibu wake labda ni ww tu umekuwa mgeni wa ATM
Asubuhi hii nimepitia atm ya crdb pale shoprite kamata, haina pesa. Imebidi nikachukue pesa kwenye atm ya nbc. Hivi hawa watu wa crdb wako serious kweli?
Sehemu ya supermarket ambapo watu wengi wanaenda shopping kwenye mwisho wa wiki nafikiri ni mahali pa kuangalia pesa isikauke.
Benki inayomsikiliza MTEJA!
Hamieni NBC saiv mambo yao safi! Bado kidogo master card zao zitakuwepo sokoni, kwa ssa tunazo watu wachache tu kwa ajili ya kufanya testing. So far so good, ukiwa dubai, jhb wachukua pesa ATM yeyote.
yanasumbua sana ma atm yote, hiyo ya kukosa hela ni uzembe wao lakini benki zote matatizo matupu.
Hamieni NBC saiv mambo yao safi! Bado kidogo master card zao zitakuwepo sokoni, kwa ssa tunazo watu wachache tu kwa ajili ya kufanya testing. So far so good, ukiwa dubai, jhb wachukua pesa ATM yeyote.
NBC nao hawana unafuu wowote! wote hawapo makini.
Shuka hata Airpot utakuta ATM YA CRDB HAMNA FEDHA WHILE ATM NBC INAPESA. Alafu sio mara ya kwanza hapa jamiiforum mdau kulalamikia atm za crdb. Lazima lipo tatizo crdb they must act on it.
Mkuu nakubaliana na wewe, saiv NBC wamerekebisha matatizo ya awali baada ya ku-upgrade the core banking system, kwa sasa wanatumia system ambayo ni very efficient iitwayo BEMS( Barclays Emerging Market System) ambayo nadhani imeongeza advanced features kwenye Flexicube system ya awali. Hivyo wadau tegemeeni products nyingi zitakazokuwa zinatolewa timely bila longolongo kama CRDB na NMB.