Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi
Japo hili ni Jukwaa la Siasa, unapozumgumzia mambo ya fedha, wengi wanadhani fedha ni uchumi tuu, kumbe sio kweli, fedha ni siasa, fedha ni uchumi, fedha ni jamii, fedha ndio kila kitu!.
Sii wengi wanalijua kosa la kiongozi wa Libya, Muamnar Quadafi kilichofanya auwawe na mabeberu, ni aliangalia kiwango cha fedha za banking transactions za nchi za Afrika, on international scale, akagundua nchi za Afrika tukianzisha benki yetu ya AfBank, badala ya kutumia WB na shirika letu la fedha AMF, badala ya IMF, na tupandishe satelite yetu ya mawasiliano badala ya ITU, Africa itapata maendelea makubwa na kuunda nchi moja ya USaF yenye nchi 54, taifa hilo litakuwa kubwa kuliko USA, Russia, China na ulaya, hivyo Africa itakuwa ndio no.1 kwa ukubwa duniani, kwa watu na rasilimali!
Mabeberu wakaogopa sana, maana bila Africa, WB na IMF is nothing!. Wakaamua he has to go!
Wakamtafutia sababu akaondoshwa!.
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alipokuwa akiizungumzia ubinafsishaji wa NBC, alisema kwa uchungu, huku machozi kama yana mlenga lenga.
Mwinyi alipokubali ubinafsishaji wataalumu wa WB wakashauri kuwa li benki la NBC ni kubwa sana, hivyo ubinafsishaji wa sekta ya benki hauwezekani mpaka NBC ivunjwe, ndipo ikavujwa na kuundwa NMB, NBC na CHC, kumbe walitudanganya ili tupanue, tulegeze, na kutepetetisha banking sector yetu, ili wao wapenye!. Kwa ujinga wetu, tukaivunja NBC, tukairowesha, ikatepeta, na kuregea, tukapanua, na wakapenya kiulani na kwa urahisi wakaingiza na ikaingia mpaka ndani kabisa, kama tuu unavyoingiza kwenye mlegezo na mtepeto!.
Niko US, nimeangalia majengo tuu ya mabenki mawili makubwa hapa, US, ndipo nikagundua sio mabenki ni mi benki, na kujisikitia na kujihurumia masikini sisi, hatuna mabenki tuna vibenki wiwili NMB na CRDB, halafu vimezungukwa na utitiri wa viji benki benki!.
Katika katika kutaka kutuma fedha nyumba ndogo (Bongo), maana mimi nyumba kubwa ni hapa US, ndipo nikakutana na huduma ya ajabu ya benki yetu ya CRDB, kupitia huduma yake ya Internet Banking, ina huduma kwa wana Diaspora inayoitwa Tanzanite, ambapo mtu unatuma fedha popote, kwa yeyote ukitokea mahali popote, bure kabisa!.
Tukio hili ndilo limenikumbusha siasa za fedha. Diaspora wa Kenya, Ghana, Nigeria, India, etc, wamejenga utamaduni wa kutuma fedha zao nyumbani, remitences kupitia ma benki ya nchi zao, na hizo nchi zinakuwa na data za michango ya diaspora wao, katika uchumi wa nchi zao, lakini sisi Tanzania, sijui hata kama tuna records za Diaspora wa Tanzania wanachangia kwa kiasi gani uchumi wa Taifa kupitia hizo remitemces zao.
Kupitia hii Tanzanite banking ya CRDB, hakuna tena haja ya Watanzania kutumia Western Union au Paypals kutuma fedha nyumbani, unatuma fedha kwa yeyote wa mtandao wowote bure, kutokea popote duniani!.
Just imagine, kama diaspora wote wa Tanzania, wata subscribe kwenye Tanzanite banking na kuitumia benki yetu ya CRDB kwa transactions zao. What would this mean to Tanzania?.
Uzalendo wa kweli ni kujenga chako na kutumia chako kuijenga nchi yako.
Ukiguswa Mpigie
Merce contact:
Diaspora Banking Team
📧tanzanite@crdbbank.co.tz
Call Center
📧info@crdbbank.co.tz
☎️+255 714-197700/+255 755-197700/+255 719-197700
Paskali,
Washington DC
Marekani
Rejea za Mwandishi Kuhusu CRDB Bank