CRDB Bank funga kazi! Unaweza kutuma pesa bure, kwa yeyote, kokote ukiwa popote Duniani. Big Up Sana CRDB Bank, diaspora tuchangamkie hii fursa!

Wabunifu wa MoneyGram wakubari dunia inaenda kasi ya ajabu.. Na hakuna wa kuizuia

Naomba Kazi ya kuwa tegemezi😂😂😂😂😂😂😂 kwa nini watume hela yao diaspora

KAMATI ya Bunge ya Bajeti imeshauri serikali kuhakikisha ongezeko la watu linaendana na ukuaji wa uchumi kwa kuwa kwasasa kati ya watu 87 kati ya 100 ni tegemezi.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza ameyasema hayo bungeni leo alipokuwa akisoma maoni ya kamati kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 pamoja na mapendekeo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango na Bajeti ya serikali kwa Mwaka 2025/26.

Amesema kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya Mwaka 2022, idadi ya watu ilikuwa ni 61,741,120 Mwaka 2022 na inakadiriwa kuwa 87,509,630 ifikapo Mwaka 2035 kutokana na ongezeko la watu la asilimia 3.2 kila mwaka
 
Naooomba kazi ya kuwa Tegemezi kwa nini hao diaspora watutumie fedha!?😂😂😂

KAMATI ya Bunge ya Bajeti imeshauri serikali kuhakikisha ongezeko la watu linaendana na ukuaji wa uchumi kwa kuwa kwasasa kati ya watu 87 kati ya 100 ni tegemezi.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza ameyasema hayo bungeni leo alipokuwa akisoma maoni ya kamati kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 pamoja na mapendekeo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango na Bajeti ya serikali kwa Mwaka 2025/26.

Amesema kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya Mwaka 2022, idadi ya watu ilikuwa ni 61,741,120 Mwaka 2022 na inakadiriwa kuwa 87,509,630 ifikapo Mwaka 2035 kutokana na ongezeko la watu la asilimia 3.2 kila mwaka
 
Wakati Diaspora wanatuma Dollar zetu wasisahau kuandika maelezoooo kwa balozi wa nyumba 10, Mwenyekiti wa mtaa, Diwani, mbunge hata raisi... Ulaya ni matajiri sana huwa wengine tunazani hela za kulelea hivi vituo - Ni hela pendwa sana
 
Crdb hawa hawa ambao nimetoa hela kwa cordless haikutoka na haijarudi kwenye account sasa ni wiki inamalizika.???
 
Umechelewa sana kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…