Hamna hizo issue bank za kuitana faragha mkuuSasa kwanini usingemuita muhudumu pembeni ukamueleza. Mambo mengine ndugu mbona yanamalizika tu hukohuko.
Man up bro.
Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
Serikali ndio wapuuzi, kwanini wasitoe hard copy ya vitambulisho vyetu, hadi bank kutanutana na usumbufu kama huo
Namba pekee sometimes haitoshi, inahitajika Copy ya kitambulisho chenyewe chenye Picha.Siyo bank tu
Kuna Office ya serikali nimeshindwa kuhudumiwa sababu Sina hard copy..
Kwani zile namba zinaingiliana?
Ina maana CRDB pamoja na ukubwa wote wameshindwa kutengeneza vijumba kama vile vya kuungamia makanisani ili vitumike kwa kazi hiyo!!!!!!!Kwa mtazamo wangu mimi binafsi naona utaratibu ule sio mzuri kabisa kumuuliza mtu his personal details mbele za watu na pia kupoteza muda mrefu kuhudumia mteja mmoja labda ungetengenezwa utaratibu mwingine mzuri wakuhudumia wateja kama hao ili kuokoa muda na usiri wa taarifa binafsi za wateja.
Ni kama katika baadhi ya hospitali manesi au madaktari hawana weledi au hekima ya kumhoji mgonjwa.Habari Wakuu!
Leo katika harakati za kuweka mambo sawa nilienda Bank CRDB Bank main customer service desk pale nikakuta kuna mteja anataka kufanya account activation coz ilikuwa dormant sasa akawa hana kitambulisho ila ana copy tu ya kitambulisho cha Taifa...