Unachopinga wewe nini? Kwahiyo kutumia huduma ni sawa na nilichosema? Kuna u-sensitive upi hadi uondoe mashaka yako zaidi ya mteja mwenyewe kuwa mbele yako over counter akiwa na docs zote ikiwa ni pamoja na mlizotoa wenyewe?Mkuu hapa mie nakupinga hilo mwenyewe natumia hiyo huduma. Inabidi ujue ni ishu sensitive sana tena sana.
Pia kama saini ukiikosea inatakiwa ifanane kama umeshabadilisha nenda kwa advocate uape kuwa umeshabadilisha
Pole mkuu hata mie wameshawahi nizingua pale Arusha Hq yao. Nilimkomalia yule Mdada nikamwambia si unaiona picha ni mie Huyo hapo. Kweli nilikomaa akawa mpole akaitoa Hela. Mie ni mteja wa crdb mkuu wala Sina his a nao. Wanachoniboaga ni Yale makato yao.Unachopinga wewe nini? Kwahiyo kutumia huduma ni sawa na nilichosema? Kuna u-sensitive upi hadi uondoe mashaka yako zaidi ya mteja mwenyewe kuwa mbele yako over counter akiwa na docs zote ikiwa ni pamoja na mlizotoa wenyewe?
Yaani mteja yupo kaunta mbele yako! Amekuja kwako na kadi yenu wenyewe, valid government issued passport, ana bank statement mlioyomtolea wenyewe minutes ago; halafu mnaacha kumpa huduma hata baada ya kusaini zaidi ya mara 10 kwa hoja eti anakosea??! Hapo mnakuwa mnatafuta ku-prove nini hasa?
Hivi unatarajia digital signature unayosaini kwenye kioo itafanana 100% na signature unayosaini kwenye karatasi? Kama wapo sensitive kiasi hicho basi waanze kutumia dola gumba na sio signature!
And FYI, kuna mengine niliyaacha tu kuyasema for the sake ya Watumishi husika! Kuna huduma ambayo sikuisema hapa ambayo iliniweka pale kwa zaidi ya saa 3 hadi nikakata shauri la kuwapigia makao makuu ndipo walipo-attend!! Na ukitaka kujua nilikaa muda gani pale, jibu ni masaa 5, na kilichonipeleka pale sikufanikiwa!
ipo poaCRDB sio benki ya kuaminika hata kidogo, mara elfu kumi ile AMANA BANK ya kina maalim
SIJAWAHI KURIDHISHWA NA HUDUMA ZAO HATA KIDOGO, IMEFANYA NIHAMIE NMB AMBAPO NNA UHURUipo poa
NMB kuna kipindi cha nyuma kidogo nilienda kubadili pesa za kigenk nilichokutana nacho dah acha tu nikaamua kwenda BOA ambako nilishasema sikanyagi tena kwenye hiyo bank lakini ndiko nilipata hudumaSIJAWAHI KURIDHISHWA NA HUDUMA ZAO HATA KIDOGO, IMEFANYA NIHAMIE NMB AMBAPO NNA UHURU
Aisee, hizi bank zina changamoto sanaNMB kuna kipindi cha nyuma kidogo nilienda kubadili pesa za kigenk nilichokutana nacho dah acha tu nikaamua kwenda BOA ambako nilishasema sikanyagi tena kwenye hiyo bank lakini ndiko nilipata huduma
Moja ya ujinga ambao nilikuwa nao ni kutofuatilia wanakata nini manake hata maintenance fee sifahamu wanakata kiasi gani ingawaje miaka ya nyuma sana nilishawahi kuzinguana nao kuhusu money transfer kutoka nje. Kama ilivyo uboya wangu, nilikuwa sikagui; sasa sijui ilitokeaje, sijui nilikuwa nimefulia; sikumbuki ila ninachokumbuka kwa wakati husika nilitoa statement ya miaka miwili na kuanza kukagua transactions zangu! Baada ya kukagua nikakuta ziliingia zaidi ya transfer 10, na kila transfer ilikuwa ina-miss $10. Ikawa kila nikiwauliza, hawana jibu la kueleweka; nikaisusa akaunti yako kwa zaidi ya miaka 2 kabla sijaanza kuitumia tena mwaka 2019Pole mkuu hata mie wameshawahi nizingua pale Arusha Hq yao. Nilimkomalia yule Mdada nikamwambia si unaiona picha ni mie Huyo hapo. Kweli nilikomaa akawa mpole akaitoa Hela. Mie ni mteja wa crdb mkuu wala Sina his a nao. Wanachoniboaga ni Yale makato yao.
Kikubwa ungewakomalia mana kama Ungekuwa Umepata dili LA mana sana INA mana ungelikosa.
Mie huwa namaindi tena kwa sauti mpaka pale wateja wanaposimama nasikika mwenyewe.
Nawaambia haiwezekani Hayo mambo ninyimwe huduma.
Nilishaenda kwa lawyer kubadili signature ila pole Sana mkuu