Habari wakuu, mi Ni mfanya biashara mdogo Ila nmefanikiwa kupata mtaji , Sasa nimeanza ku-import bidhaa kutoka ulaya.
Leo nlikuwa natuma pesa kwenda Barcelona-spain kwa njia ya T/T(telegraphic transfer).
Nikajaza fomu na nikaambiwa lazima niwe na supporting document,hvyo ikanibidi kuambatanisha proforma invoice na sales agreement.
Sasa baada ya kufanya yote hayo,
Eti wananiambia nisubiri masaa 72 manake takribani SKU tatu ndo pesa ifke na ndo ntapata swift advice.
Malalmiko yangu na maulizo.
1.je bank zote zpo hvi, manake wamechukua privacy yangu ya document original (sales agreement na proforma invoice) mazima Yani watakaa nazo .
Inakuaje na wakati nlitumia tu Kama proof na wao kazi yao Ni watume Ela zangu Mimi .
2.Npo tanga , Eti document mpaka ziende headquarter ndo muamala ukamilike, Kuna maana gani ya matawi huku mikoani?
3.kama mfanyabiashara SKU tatu Ni nying, importation inakula Muda ,vpi na wao washindwe kutuma Ela zangu kwa Muda muafaka au haraka.
Kama mtu una matatzio so unadhurika jamani.
MAONI YAKO NI MUHIMU KWA ULIYE WAHI KUTUMA PESA NJE.
USINISHAURI NJIA NYINGINE MANA T/T NDIO NJIA NZURI KWA BULK CASH NA BIG BUSINESS, NATUMA PESA NYINGI, NJIA HII NI SECURED SANA.