CRDB bank ikoje asee(maoni yenu jamani Sina Raha hapa)

Typically, a telegraphic transfer is complete within two to four business days, depending on the origin and destination of the transfer, as well as any currency-exchange requirements. Telegraphic transfers are also known as telex transfers (TT), or more generically as wire transfers or electronic funds transfers.
 
dah asante, nimepata elimu hapa, kuna mbuzi moja ilisema eti humu hawezi kupata msaada wa kimawazo, nafikiri ije hapa ijifunze
 
dah asante, nimepata elimu hapa, kuna mbuzi moja ilisema eti humu hawezi kupata msaada wa kimawazo, nafikiri ije hapa ijifunze
Uko sahihi, usisahau kupeleka na elimu hii muhimu kwa mumeo hapo nyumbani.
 
Nimetoa hela zangu zote CRDB nimehamisha EQUITY. EQUITY wapo vizuri sana, waongezee atm na kuna baadhi ya mikoa wajitahidi kuifikia.
 
Profoma ni lazima unapofanya Tt kwa miamala ya nje, kusubiri siku tatu ni kawaida pia kutegemeana na muda uliokwemda kufanya hizo bank, nafikiri ikishafika saa 9 transfer huwa zinakuwa rescheduled kwa siku inayofata, siku inayofauata ikiangukia weekend unaeza subiri advise hata siku 5 mbele.
Kwa kawaida tt huwa zinafanyika kwenye branch yoyote hata mikoani, ila kuna nchi zimejaa matapeli au ni sensitive sana kwa banks , ukiwa unatuma pesa nchi kama Italy , Afghanistan, spain nk screenings yake ni kubwa sana ndo maana baadhi ya transfer huwa zinafanyiwa uhakiki main branch dar
So vumilia tu, na kila kitu kitakaa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…