muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,041
- 1,457
Yaani tulihama bank yetu pendwa ya wananchi tukitegemea huduma zenu no professional and timely lakini baada ya kupata wateja wengi mmekuwa mzigo. Mtu unakaa masaa matatu kutoa au kuweka hela tena katikati ya week.
Ingekuwa Jumatatu tungesema sawa lakini J5, Alhamis na Ijumaa foleni ndefu. Tumashine vyenu vya namba wala hamfati namba, kama humjui mtu utaganda masaa 2 mpaka 3. Mmeongeza transaction cost na kama commercial banks na mmesahau kuwa mlianza kama benki ya ushirika.
Mbaya zaidi mnavukisha wale mnajuana nao kwa mlango wa nyuma. Mnajifanya na slogan the bank that listen lakini mmekuwa the bank that waste time. Mnasingizia mtandao lakini ukienda bank zingine huduma 20-30 minutes ushahudumiwa. Mnafanya kazi kwa kujuana na wateja, eti corporates customers, wa laki 5?
Acheni ujinga, wateja tuna options za kutosha mpaka SACCOS tunaweka na kuchukua hisa kwa makato nafuu. Next time nitawataja kwa majina yenu na kufunga account.