FREIGHTLINK
Member
- Apr 11, 2016
- 19
- 7
Lakini wao waliandika ktk barua ya ajira iam able to work in challanging environment so why are you complaining mwisho ulisema
Your faithfully
Mtoa uzi
Acha kazi
Umaskini ni mdudu mbaya sana. Hii yote ni sababu ya umaskini.'..I can work under challenging environment, odd hours with minimum supervision..'
Vumilia mkuu,ukikaidi, acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi!
Kwa nafasi yako moja, kuna watu around mia na hamsini wanaitolea macho (wengine ni majobless, wengine wanafanya sehemu nyingine wanataka kuhamia hapo, wengine wapo hapo hapo ila nafasi za chini wanataka kupanda kuja ulipo, wengine wapo mikoani wanataka kuhamia mjini na wao, wengine wapo vyuoni wanaota kufanya kazi yako siku moja)!
Hatari sana!
Mhm...wewe haya umeyajuaje? Au una Mke anafanya kazi hukoHabari. Napenda kujua, Sheria ya Kazi inataka mfanyakazi afanye kazi saa ngapi kwa siku?
Wafanyakazi wa CRDB Bank hasa Tawi la Premie huwa manatakiwa saa 1:30 asubuhi wawe wako ofisini. Inawezekana matawi mengine ni hivyo pia. Wafanyaka wa BanknaTawi husika hutoka saa 12 au saa1 usiku. Kwa sasa wanatoka ofisini saa 3 usiku. Cha kushangaza hakuna malipo ambayo wanalipwa kwa kukaa ofisini saa zote hizo.