Uzembe huu upo makao makuu hasa katika kuweka entry to the data base. Tiss (Local Transfer) kawaida uchukua siku moja kuingia katika account ilipotumwa na charge yake uwa kubwa tofauti na charge nyingine. CRDB uchukuwa zaidi ya siku tatu. Hii inaleta usumbufu sana kwa wateja wenu
Bodi ya wakurugenzi, management nzima naomba mkimulike kitengo hichi, kama nguvu kazi ndongo, muongeze.
CRDB ni bank inayomsikiliza mteja