Inashangaza katika zama hizi za ushindani na utitili wa mabenk na financial institutions unaoomba mkopo unachukua zaidi ya miezi mitano! na sifa zote unazo au ndio mfumo wa wafanyakazi wenu kuomba rushwa? najuta kujiunga na benki yenu na sitarudi tena, wanawashinda hata nmb? sina hamu na crdb mmekwamisha mipango yangu na nimeingia hasara kubwa sababu ya ukiritimba wenu