CRDB Bank Plc imerudi enzi za "Cooperative and Rural Development Bank"

Idofi

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
2,259
Reaction score
1,962
Inashangaza katika zama hizi za ushindani na utitili wa mabenk na financial institutions unaoomba mkopo unachukua zaidi ya miezi mitano! na sifa zote unazo au ndio mfumo wa wafanyakazi wenu kuomba rushwa? najuta kujiunga na benki yenu na sitarudi tena, wanawashinda hata nmb? sina hamu na crdb mmekwamisha mipango yangu na nimeingia hasara kubwa sababu ya ukiritimba wenu
 
Nadhani sababu ni Mkopo walioikopesha serikali
 
Benki ya CRDB ni benki iliyodumaa ktk utoaji wa huduma. Bidhaa zao zao nyingi sio rafiki kwa WATZ hasa wa Hali ya chini na kati.
 
Reactions: Kig
Trust me CRDB wako stable than you think. Mimi sio mfanyakazi pale wala nini but they are far better than you think.
 
Kwanini usiende kwa meneja wa tawi.
Wakati mwingine izo ishu zinatokea uongozi haujui. Na ndo sehemu sahihi pa kupata haki yako, before you draw conclusion.
 
REF: 03005122 STARTIMES PAYMENT FAILED. null null na REF: 03005121 STARTIMES PAYMENT FAILED. null null haikurudi pesa yake jumla ni (shs 40000.sijui hata naenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…