Rurakha
Senior Member
- Oct 20, 2019
- 122
- 224
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote
Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa kifedha upande wa mabenki binafsi kutokana na uzoefu kidogo katika kazi hii, nimegundua Benki ya CRDB mnatusababishia hasara mfano kwenye pos nimeweka 10m alafu mtandao unazingua siku nzima, pesa zangu zinaganda hazizunguki na mitaji yetu ni ya kuunga
Niuombe uongozi ufanyie kazi changamoto hii maana ni ya mda mrefu sana tofauti na NMB mtandao uko vizuri
Ukifanya tathimini wakala anaweza kufanya kazi siku 15 au 17 ambazo mtandao uko vizuri na siku zilizobaki mtandao haufanyi kazi hivyo kupelekea uate kamisheni ndogo
Mnatuangusha sana