Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Funguka bhana,unataka huduma gani za crdb?Wakuu napendaa kujua kama kuna mtu anayeweza kunisaidia .
Je naweza kupata servises za crdb bank here in Nairobi?
CFunguka bhana,unataka huduma gani za crdb?
Maana naona unajifichaficha kama unakojoa barabarani hivi.
Sikumbuki vzr but ajaribu kwenda mitaa ya gombe market pale.C
Cha muhimu ni kumuelekeza ilipo bank ya CRDB hapo Nairobi, watu wako tofauti kwenye kujielezea,
Nataka nitoe pesa kwenye acc . Kadi yangu nimeisahau dsm. Je inawezekana!?Funguka bhana,unataka huduma gani za crdb?
Maana naona unajifichaficha kama unakojoa barabarani hivi.
Sikumbuki vzr but ajaribu kwenda mitaa ya gombe market pale.
We have to be sincere, there is no any crdb branch in nairobi. qpob4
Mweeee!Nataka nitoe pesa kwenye acc . Kadi yangu nimeisahau dsm. Je inawezekana!?
Kama una msaada nisaidie kwa marlezo ila sio maneno maneno ya kitaa.
Mweeee!
Umesahau card?
Dandia mafuso urudie card bhana.........no means!
Umeona eeeh!Haha unadhani mm kilaza wa aina hiyo? Nima kcb nitatumia hiyo.
Asanteni wadau.
Haha unadhani mm kilaza wa aina hiyo? Nima kcb nitatumia hiyo.
Asanteni wadau.
Kaka naona umerudi kwenu..
wasalimie Nairobi..
wacha ulaghai...tanzania kcb ipo miji mingapi kulinganisha na crdb?Fungueni account kcb kuepuka usumbufu. Hapo uta access account yako popote ulipo EA pamoja na South Sudan.
We have to be sincere, there is no any crdb branch in nairobi. qpob4